Pages

Tuesday, March 26, 2013

Saving Underground Artist Present Okoa Mtaa...


Hii ni Final Season ya tamasha la Saving Underground Artist (S.U.A), ambapo safari hii wamekuja na kauli mbiu ya''Okoa Mtaa''.
Safari hii tamasha hili linatarajiwa kufanyika tarehe 31 March mwaka huu, ambapo itakuwa ni mwishoni mwa mwezi huu.
Tamasha hili litafanyika katika viwanja vya Via Via Parking, Arusha. Katika tamasha hili kutakuwa na mambo mbali mbali ikiwemo kama Ma'Mcs wakali, Graffiti, Freestyles, Dj's na mengineyo.
Yote hayo utapata kujionea pasipo kiingilio chochote kile.