Pages

Saturday, March 16, 2013

Kwa Mara Ya Kwanza... Check Lulu Anavyofunguka Juu Ya Marehemu Kanumba...


Wakati zimebaki siku chache tu kutimia mwaka mmoja tangu msanii marehemu Steven Kanumba afariki dunia, msaniiElizabeth Michael a.k.a Lulu, ambaye bado anakabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusidia ya msanii huyo, Luluazungumza...
Ikiwa ni kwa mara ya kwanza, Lulu (@hotlulumichael) ametweet maneno kadhaa katika ukurasa wake wa twitter zikionesha na kuthibitisha anavyomkumbuka na k**-miss Marehemu Kanumba.
Cheki tweets zenyewe hapa chini:
_______________________________