Pages

Friday, March 8, 2013

MTOTO WA AMBER ROSE APATA BABA


amber
Baada ya kubahatika kupata mtoto wa kiume, Amber Rose na Wiz Khalifa sasa waamua kumpatia baba wa ubatizo mtoto wao.
Sebastian “The Bash” Tylor Thomaz mtoto wa mastaa hao aliyezaliwa February 21 mwaka huu, jana march 6 alipatiwa baba wa ubatizo yule aliyekuwa rafiki wa karibu na Wiz Khalifa “Curren$y”.

Amber Rose aliweka wazi hili kupitia ukurasa wake wa Twitter “Yay! I’m so excited 4 Sebastian 2 meet his Godfather” “This Lil boy has so much family & Love… It’s such a blessing.”.
Urafiki wa Wiz na Curren$y ulizidi baada ya kutoa mixtape yao waliyoipa jina laHow Fly mwaka 2009.