Pages

Thursday, March 14, 2013

Tiwa Savage Aachia Video Yake Mpya ''Without My Heart''...


Nyota wa muziki kutoka Nigeria maarufu kama Tiwa Savage ambae anafanya vizuri sana katika industry ya muzikiAfrica kwa sasa ambapo hadi sasa ana baadhi ya ngoma zake ambazo bado zinafanya vizuri kwenye baadhi ya vituo vya radio pamoja runinga Africa na nje ya Africa pia ameachia video nyingine.
Tiwa hivi karibuni ameachia video ya wimbo wake mpya wa ''Without My Heart'', ambapo ndani ya wimbo huo amemshirikisha mwanamuziki kutokea nchini Nigeria akijulikana kama Don Jazzy.
Wimbo huu ni moja ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye album yake mpya ambayo iko mbioni kutoka.
Cheki video ya WITHOUT MY HEART hapa chini: