Pages

Thursday, March 14, 2013

Brand New: Jux - UZURI WAKO...

Baada ya kuachia single yake ya ''Niwe Nawe'' ambayo ilitoka mwezi uliopita, sasa Jux ameachia tena single nyingine mpya.
Its a brand new single, na hii ambayo ameipa jina la ''Uzuri Wako'' akiwa ameifanya katika studio ya AM RECORDSchini ya Producer Maneck.
Kuwa wa kwanza kuisikiliza UZURI WAKO hii kutoka kwa Jux..