Pages

Thursday, March 21, 2013

HII NDIO SABABU YA MAMA LINEX KUTIA NGUM, LINEX KUOA MZUNGU


SIKU chache baada ya Mbongo Fleva, Sunday Mangu ‘Linex’ kumvisha pete ya uchumba demu wake mtasha, Suvi Rikka, mama wa staa huyo, Imelda Barnabas ameibuka na kumchana mwanaye kuwa haitambui pete wala mchumba huyo kwa kuwa kitendo hicho hakina baraka zake wala za familia.

 
Sunday Mangu ‘Linex’ akiwa na mchumba wake Suvi Rikka.
Linex alipoulizwa juu ya sakata hilo, alifunguka:
“Yah! Bi mkubwa amenijia juu ile mbaya, ila najitahidi kumuomba msamaha, hope atanielewa.” 


Source : Global Publishers