Pages

Tuesday, March 26, 2013

Fid Q Afikiria Kufanya Ngoma Moja Na Rama Dee...


Rapper kutoka Mwanza ambae kwa sasa anafanya kipindi chake cha Fidstyle Friday kutoka Cheusi Dawa TVFid Q afikiria kufanya ngoma moja na Rama Dee...
Fid Q ambae hivi karibuni ameshirikishwa na rapper kutoka Moro Town, Stamina kwenye track ya Wazo La Leo amefikiria kufanya hivyo na Rama Dee mwenye makazi yake nchiniAustralia kwa sasa.
Rama Dee ambae anatamba na baadhi ya ngoma zake kamaKumbe Ni Make Up, Kuwa Na Subira ambayo amewashirikishaMapacha.
Earlier today, Fid aliyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter