Pages

Tuesday, March 26, 2013

Check Baadhi Ya Picha Za Kundi La Mi Casa - Live In Dar Es Salaam, Tanzania...


Jumamosi iliyopita ilikuwa ni moja ya siku za kukumbukwa sana kwa wapenda burudani, kwani kundi la Mi Casa kutoka J'Burg, South Africalilichapa bonge ya show jijini Dar Es Salaam...
Mi Casa wanaofanya muziki aina ya HOUSEwalifanya poa sana pande za Mlimani City kwaLive Show kali sana iliyoshuhudiwa na fans wao mbali mbali walioweza kufika eneo hilo wakiwemo wasanii tofauti wa hapa Tanzania...
GongaMx ilikuwepo eneo la tukio kuchukua matukio tofauti ya yale yaliyokuwa yanaendelea maeneo hayo...
Mi Casa Music wanaofanya vizuri sana na ngoma zao, mfano ALL THE GLORY waliwarusha sana fans waliokuwemo eneo hilo hasa na pale mrembo/singer Vanessa Mdee alipowa-join on stage...
Check picha zaidi hapa chini:
Mi Casa kickin' it...
Vanessa Mdee...
Cpwaa And Mzungu Kichaa... Enjoying Good Music...
More photos: