Pages

Tuesday, March 26, 2013

Lord Eyez Kuachia Kazi Mbili Weekend Hii...


Msanii kutoka kundi la N2N Soldiers/WEUSI famously known asLORD EYEZ anatarajia kutoa kazi zake mbili kwa mpigo weekend hii...
Lord Eyez ambae hivi karibuni alifanya mkono mkali na RnB star in TZ, Ben Pol anaachia ngoma nyingine ijumaa hii ikiambatana na video ya NO MORE DRAMA aliyofanya na Ben Pol...
Away from that, Lord Eyez pia ataachia single ingine inayofahamika kama MAPITO...
Mapito ambayo amefanya na Damian Classic will be the next work of Lord Eyez to his fans...
Few hours ago, one of the members wa kundi la WEUSIakifahamika kama Nikki Wa Pili pia alitweet juu ya ujio huu mwingine wa Eyez...