Pages

Tuesday, March 12, 2013

[VIDEO] New: Akili The Brain - Nakuogopa...


Hii ni video ya wimbo mpya kabisa kutoka kwa mwanamuziki na producer Akili The Brain ikifahamika kamaNAKUOGOPA...
Akili ambae miaka ya nyuma alifanya vizuri sana na baadhi ya ngoma zake zilizokuwa na mahadhi ya kihindi zikichanganya na Bongo Flava hasa ile ambayo alifanya na marehemu Steve 2K iliyokuwa ikijulikana kama Regina.
Cheki video ya track NAKUOGOPA hapa chini na bila kusahau kuweka comment yako pia.