Pages

Thursday, March 14, 2013

Brand New: Suma Mnazaleti ft. Tunda Man - Tuko Wangapi...


Ni ngoma mpya kutoka kwa msanii wa kizazi kipya maarufu kama Suma Mnazaleti, hii ikiwa ni baada ya Suma kuachie ile single yake ya ''Ahsante''.
Suma ameachia ngoma inayokwenda kwa jina la ''Tuko Wangapi'', ambamo ndani ya ngoma hii amemshirikisha msanii kutoka Tip Top Conection [Manzese], Tunda Man.
Chukua time yako ya kuwa wa kwanza kusikiliza ngoma hii hapa chini: