Pages

Sunday, March 10, 2013

HII NDIO MOVIE MPYA ITAYOKUJIA SOON, KUTOKA KWA ELIZABETH MICHEL AKA LULU

405647_211780502251686_964988464_n



Movie mpya ya mwanadada Elizabeth micheal aka Lulu  ya Foolish Age ambayo alianza kuitanagazia soko hata kabla hapata kesi aliyokuwa nayo. Kwa habari zilizoko kuhusu movie ni  kwamba soon watanzania wataipata sokoni. Katika habari za ndani za hapa na pale ni kwamba eti hiyo movie tayari imeshapelekwa kwa wahindi tayari kwa kuidurufisha ili iweze kusambazwa mtaani. Habari hizi hazijawa rasmi lakini chanzo hicho kitoa taarifa hizo.