Pages

Friday, March 15, 2013

Nicki Minaj Achukua Front Cover Kwenye Jarida La Elle...


Female rapper kutoka kundi la Young Money/Cash Money maarufu kama Nicki Minaj ambae anafanya vizuri kwenye industry ya muziki ambapo kwa sasa anatamba na ngoma yake ya Freedom na Freaks ambayo ameshirikishwa na rapper kutoka Bad Boys, French Montana.
Sasa habari kamili kutoka kwa rapper huyu ni kuwa hivi karibuni amepata shavu la kutokezea kwenye toleo lijalo la Jarida la Elle ambalo linatarajiwa kutoka March 18 mwaka huu.
Picha alizopiga kwenye jarida hilo zinamuonesha Minaj akiwa na uhalisia wake akiwa hajaweka make-ups zozote katika mwili wake...
Cheki baadhi ya picha alizokuwa akipiga kwa ajili ya jarida hilo:
_______________________________