Pages

Friday, March 15, 2013

Mh. Temba Kutupakulia "TOROKA UJE" Hivi Karibuni...


Inaonesha Temba alikuwa anajipanga!!! Kwani he's back na "TOKA UJE"
Temba kutoka TMK Wanaume Family ambae amekuwa kimya kidogo kwenye game... Alifanya vizuri sana na ngoma kama Nampenda Yeye, Mario, Amekoma n.k. ameamua kurudi tena na ujio mwingine ambapo soon atatupakulia single yake nyingine ambayo itakwenda kwa jina la Toroka Uje,
Bado haijajulikana ni lini Temba ataichia rasmi ngoma hii ila kuwa tayari... We'll drop it right here!!!