Pages

Saturday, March 16, 2013

Warembo 20 Wapatikana Kushindania MISS DAR INDIAN OCEAN 2013..


Leo, katika ukumbi wa muziki wa Much MorePosta Mpya kulikuwa na usaili wa kuwania warembo watakaoshiriki katika shindano kubwa la kumpata MISS DAR INDIAN OCEAN...
Baada ya mchujo kufika, walipatikana warembo 20 tu (pichani) ambao watashiriki katika fainali za kumpata mshindi.