Pages

Thursday, March 21, 2013

Video Auditions Za CLOSER By Vanessa Mdee Kuanza Kufanyika Kesho...


Mchakato wa kuwatafuta warembo watakaoshiriki katika Video mpya ya Vanessa Mdee umeanza...
YEAH!!!    Auditions hizo zitaanza rasmi kesho [Tarehe 20 March] and this goes kwa wadada wote wazuri ambao wangependa kushiriki katika video mpya ya Vanessa "CLOSER" inayotarajiwa kuanza shooting hivi karibuni...
Auditions hizo zitakazofanyika katika eneo/ukumbi wa Azura Beach uliopo jijini Dar es salaam zitaanza saa 9 kamili...
Vanessa Mdee recently known as Vee Money amesema wasichana wote warembo wanakaribishwa kushiriki, wajue kucheza na pia wazingatie muda ambao umepangwa, yaani saa 9 alasiri... Muda ni wa kuzingatia zaidi ili watu wote watakaofika waweze kushiriki...
Auditions hizo za video ya CLOSER, ngoma kali na inayofanya vyema sana katika music industry ya Bongo, Afrika and beyond kwa sasa, zitamshirikisha Vee herself (as she'll be there) kupata wale wote wanaopenda kushiriki nae katika video yake hiyo