Pages

Thursday, March 21, 2013

Rose Ndauka Aanza Shooting Ya Talk Show Yake..


Msanii wa filamu Tanzania maarufu kama Rose Ndauka anatarajia kuanza kufanya TV Talk Show ambayo aliipa jina laThe Family Tv Talk Show, sasa mpya ni kuwa msanii huyu ni kuwa tayari ameshaanza kurekodi kipindi hicho ambacho hadi sasa bado hakijajulikana kitarushwa katika TV Station gani...
Katika kipindi hicho mgeni ambae alipata nafasi ya kufanya mazungumzo na mwanadada Ndauka ni msanii wa Bongo Flava maarufu kama Sam Wa Ukweli.
Cheki baadhi ya picha za kwenye show yenyewe hapa chini: