Pages

Thursday, March 14, 2013

Brand New: Kala Jeremiah ft. Ben Pol - KARIBU DAR...


Baada ya kuachia ngoma yake ya Dear God na mashabiki wake kuipokea vizuri, rapper Kala Jeremiah ameamua kuachia ngoma yake nyingine inayokwenda kwa jina la ''KARIBU DAR''.
Ndani ya ngoma hii amemshirikisha mkali wa chorus na RnB Bongo, Ben Pol.
Isikilize ngoma hii hapa chini na unaweza kutupia maoni yako kuhusiana nayo... Wewe kwa mtazamo wako umeionaje??..