Pages

Thursday, March 14, 2013

Brand New: Masawe Mtata ft. January - INTRO...


Hii ni single mpya kutoka kwa msanii wa vichekesho vya Ze Comedy akijulikana kama Masawe Mtata, sasa msanii huyu ameamua kijiingiza kwenye tasnia ya muziki ambapo ameachia single yake inayoitwa ''Intro''.
Kwenye ngoma hii, Masawe amemshirikisha mwanamuziki kutoka Victoria Band akijulikana kama January. Track hii imetengenezwa ndani ya studio ya NK Production chini ya Producer Chrixtone.
Sikiliza single yenyewe hapa chini: