Pages

Monday, March 4, 2013

Diamond Azushiwa Kumtapeli Meneja Wake...


Mwanamuziki mashuhuri ambae anafanya vizuri sana katika tasnia hii ya muziki wa hapa nyumbani, Diamond Platnumzambae kwa sasa anatamba na baadhi ya ngoma zake kama Nataka kulewa, Kesho, Ukimwona na nyinginezo azushiwa kumtapeli meneja wa kazi zake...
Habari kamili kutoka kwa Raqey Mohammed amabe alijitambulisha kama Meneja wa Mr. Platnumz alitupia picha kupitia ukurasa wake wa instagram ikionyesha gazeti likiandika habari za uzushi zikisema kuwa Diamond Amdhulumu MenejaWake.
Raqey aliandika zaidi kulionesha gazeti hilo kutokuwa makini na habari zake na kwamba angalau lingemtafuta ili kujua ukweli ya yale yaliyoyaandika.
Check hapa chini alichoandika zaidi Meneja wa Diamond Platnumz: