Pages

Friday, March 8, 2013

Leo Ni Siku Ya Wanawake Duniani, Check Walichoandika Baadhi Ya Stars Kutoka Afrika Mashariki Juu Ya Siku Hii...


Kwa kawaida kila ifikapo tarehe 8 ya kila mwezi wa Tatu basi lazima wakina mama na wanawake wote Duniani husheherekea pamoja na kuiadhimisha kama ndio siku ya Wanawake Dunia nzima.
Hivyo basi katika kusheherekea siku hii ya wanawake kila mwanamke ana budi kusheherekea siku hii kwa aina yoyote aipendayo yeye ilimradi siku hii ibaki kuwa ni siku yenye kumbukumbu nyingi kwao.
Sasa basi kuna baadhi ya watu maarufu kutoka hapa bongo na nje ya bongo pia wameungana na wakina mama Duniani kotekwa kusheherekea nao siku yao hii. Hizi ni baadhi ya post kutoka kwa mastaa mbali mbali wa East Africa...