
Rapper kutoka Marekani maarufu kama Gucci Mane ambae anafanya vizuri kwenye ulimwengu wa ku-rap na kuweza kujipatia umaarufu mkubwa kutokana na staili ya uimbaji wake. Sasa habari kamili kutoka kwa rapper huyo ni kuwa kupitia ukurasa wake wa Twitter alitangaza rasmi kuwa ifikapo July 2 mwaka huu atabadili jina lake rasmi, yaani kutoka Gucci Mane na kuanza kujiita ''GUWOP''.
Mfano: Snoop Dogg na kujiita Snoop Lion, Puff Daddy na kujiita P. Diddy then Diddy, N.O.R.E to P.A.P.I. Lakini kwa mashabiki wa rapper Gucci wameonekana kutokufurahishwa na kitendo hicho na kuanza kumjibu vibaya rapper huyo.
Hizi ni baadhi ya tweets ambazo zinamuhusu rapper huyo kutoka kwa fans:
_______________________________