
Pata time yako ya kuwa wa kwanza kuisikiliza ngoma mpya kabisa kutoka kwa mwanamuziki wa kizazi kipya akijulikana kama Prince Tozie akija na ngoma yake inayokwenda kwa jina la ''My Number One''.
Ndani ya ngoma hii amevishirikisha vichwa vitatu ambavyo ni Mr. Blue, Baghdad pamoja na Brah Hus.
Sikiliza ngoma yenyewe hapa chini: