Pages

Tuesday, March 5, 2013

Drake Amwaga Hela Disco...


Rapper kutoka kwenye kundi la Young Money [YMCMB], Drizzy Drake ambae sasa anafanya vizuri na track yake yaStarted From The Bottom siku chache zilizopita alikwenda Cameo Night Club na kuanza kumwaga hela [ballin'] kama mvua ambapo rapper huyo alikuwa ameingia na mapene hayo kwenye box.
Drake aliingia ukumbini humo akiwa na jumla ya kiasi cha Dola za kimarekani $50,000 ambazo ni sawa na pesa za kitanzania Shilingi Millioni 80,000,000.
Angalia picha zaidi ya tukio hilo:
_______________________________