Rapper kutoka Manzese, Ney Wa Mitego sasa yuko mbioni kuachia ngoma moja na msanii maarufu na anaefanya vizuri zaidi Bongo, Diamond Platnumz.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa wasanii hawa kufanya kazi ya pamoja. Bado haijajulikana jina la ngoma hiyo na pia bado haijajulikana ni siku gani ngoma hiyo itaachiwa lakini hizi ni baadhi ya picha ambazo wasanii hawa walizipiga jana wakati wakiwa studio: