Pages

Friday, March 1, 2013

Tofauti Na Tulivyozoea Mtandaoni, Account Ya Goldie (Twitter) Yaendelea Kufanya Kazi...


Wiki chache zilizopita, tumempoteza mwanamuziki maarufu Africa kutoka Nigeria, Marehemu Goldie Harvey. Goldieambae alifariki muda mchache baada ya kuwasili jijini Lagos akitokea Los Angeles, America na kuzikwa siku kadhaa baadae hapo hapo Lagos.
In a bit shocking way, account ya Marehemu Goldie katika mtandao wa Twitter (@GoldieHarvey) imeonekana kuendelea kufanya kazi ikitangaza muziki wa msanii mwingine kutoka huko huko Nigeria.
Hii imeonekana si kawaida hasa tukifanya reference kwa wasanii wetu hapa nchini waliotutoka, mfano: Steven Kanumba, Sharo Millionea [R.I.P] n.k. huwa account zao hizi hazifanyi kazi baada ya wao kufariki. Account ya twitter ya Goldie imeonekana kumtangaza msanii Tonto Dikeh amabe ametoa ngoma yake mpya inayofahamika kama JEJE.
Icheck Account hiyo na ilichokiandika hapa chini: