Pages

Friday, March 1, 2013

NEW: The Team S01E02...


Ni tamthilia mpya ya kiswahili iliyoigizwa katika mazingira ya kitanzania. THE TEAM ni tamthilia inayoangalia zaidi masuala ya kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke ikisisitiza kuanzisha majadiliano.
Mwalimu Wito atambulishwa shuleni kufundisha darasa la Form 4...
Check sehemu ya kwanza ya tamthilia hiyo hapa chini: