Pages

Friday, March 1, 2013

EXCLUSIVE: Brand New: Ommy Dimpoz ft. Vanessa Mdee - Me N You...


Ile video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, Ommy Dimpoz featuring Vanessa Mdee, ME & YOU sasa imetoka. Video hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya OGOPA VIDEOS iliyopo nchini Kenya, imefanyiwa shooting nzima huko katika jiji la Nairobi ikiwa na wakali hao wa videos wakiwa na camera mpya na za kisasa kabisa.
Ommy ambae amerejea siku si nyingi kutoka jijini London, UK alipokuwa na shows kadhaa kuwaburudisha mashabiki wake wa huko, amerudi na kutushushia mzigo huu ambao earlier aliutambulisha pale New Maisha Club katika show aliyopiga Vanessa herself.
Check the video ya ME & YOU hapa chini: